Monday, July 16, 2012
Wednesday, May 9, 2012
Tuesday, May 1, 2012
Avengers katika sinema leo
Katika kutizama kwangu filamu za marvel ,The
avengers-watazamaji hatutaweza subiri mpaka mwisho wa filamu kushangiria
kwani katikati ya action sequence katika onyesho la tatu la story, team
nzima ya avengers,ikijumuisha Iron man, Hulk, Thor, Captain america,
Hawkeye, na Black Widow, wana assemble kwenye screen na kufanya
mtazamaji kubaki na butwaa.Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani filamu hii
livyo tengenezwa kwa umakini mkubwa na jinsi waigizaji wake wanavyo weza
kusadifu uhusika wao na jinsi dialogue na script vilivyo tengenezwa kwa
umakini pia.
Avenger ni muendelezo wa baadhi ya ya
filamu za marvel universe. Filamu inaanza pale Loki (Tom hilddleston)
anaporudi tena dunia na kuiba “the Tesseract” an alien source of pure
energy, na kutishia kuteka dunia nzima kwa msaada wa jeshi lake la
viumbe kutoka dunia nyingine liitwalo “the chitauri”.
Nick Fury (Samuel L. Jackson), kiongozi
wa covert government outfit inayoitwa S.H.I.E.L.D anaunda team ya super
heroes iitwayo The Avengers (Robert Downey Jr,Chris Hemsworth, Chris
Evans, Mark Ruffalo, Scarlett johnsson, Jeremy Renner) kuzuia mipango
ya Loki.
Filamu nyingi za marvel zimekuwa na action kidogo ila The Avengers
ina rekebisha ilo ikionekana kutumia falsafa ya “go big or go home” na
action yake imepangiliwa na inakwenda na story pia Whedon anafanya cut
kwenye filamu hii ili kutuonyesha kila kinachoendelea kwa heroes tofauti
. The final battle kati ya superhero team na jesh la Loki ni better
kuliko action zote kwenye filamu za marvel pamoja na uzidishe kwa kumi.Whedon anajulikana kwa kutengeneza wahusika wenye akili,upeo na kukua ki hisia, na filamu hii inaendeleza umaarufu huo.filamu hii pia ina furahisha kote kwenye dialogue na hata physical humor( ambapo Loki anapambana na Hulk). Japokuwa inaanza kama imepooza ila inakuja pamoja haraka pale mwandishi/director anapo fanikiwa kuelezea story na kuchanganya high-tension fight na action sequence.Post Kwa Msaada wa PopoteTZ
Wednesday, April 25, 2012
Subscribe to:
Comments (Atom)

