K'Naan,msanii kutoka label ya A&M records atangaza tarehe ya
kuiachia album hiyo mpya iitwayo kwa jina la "Country, God or the
Girl".Album hio itaachiwa tarehe 1 May mwaka 2012.Album hio itakuwa na
ngoma kadhaa ambazo zimeshirikishwa na wasanii kutoka Marekani kama Nas
,Will.i.am,U2,Nellly Furtado na Keith Richards

No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.