Thursday, March 8, 2012

Game Atangaza Jina la Album yake mpya "F.I.V.E"

                                                                                                                                 Game atangaza jina la album yake ya tano ambayo itaitwa kwa jina la "F.I.V.E" ambayo kirefu chake ni Fear Is Victory’s Evolution.Album ya F.I.V.E ndo album itayofuata baada ya album ya R.E.D ambapo album hio ni kutokana na msukumo wa Nas .Game aliiambia jarida la XXL kwamba yeye ni mshabiki mkubwa wa Nas na pia ni kaka yake kwenye hii tasnia ya mziki.
Game alisema hio ndio itakuwa album yake ya mwisho kwenye lebo hio ambayo yuko nayo sasa ya Interscope kutokana na mkataba ila bado ajajua kama ataendelea nayo au hatoendelea nayo bado ajafanya maamuzi yoyote

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.