King wa Bongo Fleva Dully Sykes ametoa wimbo mpya
unaokwenda kwa jina la MAPENZI YA BBM ukiwa ni maalumu tu kwa watu wanaotumia
BBM (Blackberry Messenger) tu na sio wa Radio wala Club. Dully amesema ameutoa
wimbo huo kutokana na kwa sasa Blackberry Messenger kushika chati kwa hapa Bongo
na nje ya bongo.

No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.