Thursday, January 19, 2012

kauli ya SUMA MNAZARETH baada ya kutolewa LUNDUNO!

                                                       NIKKI MBISHI

                                                           SUMMA MNAZARETH(YELLOW COAT)
baada ya Commander mkuu wa LUNDUNO kutangaza kundi hilo kutoendelea tena kuwa na rapper SUMA MNAZARET kama member, rapa huyu ametoa msimamo wake exclusive on millardayo.com

Suma amesema “nilikua Lunduno, na nisehem ambayo hata ukitaka kuingia hakuna mkataba, ilitokea tukafikia tu makubaliano na washkaji, ila nimeshtuka ijumaa iliyopita kufaham kupitia facebook kwamba wamenitoa, tena bila sababu, sijui chanzo”

ameamplfy zaidi kwamba “sijaongea na NIKKI MBISHI mpaka sasa, ambae ndio aliandika hiyo post ila wengine nikiongea nao kwenye simu kila mmoja yuko sawa na mimi, sasa hivi hata wakitaka nirudi siwezi, msimamo wangu ni kwamba nitabaki kama nilivyo, siwezi kuwa kwenye kundi ambalo mi nasema huku nipo, huku mwingine anasema sipo.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.