Mwanamziki
toka nchini UGANDA ambae kwa sasa anatamba na nyimbo ya Jelousy
amesema anapenda sana kuishi TANZANIA,bt anashindwa kwani ye anategemea
sana mziki,,hivyo anashindwa kwa sababu mziki wa kitanzania haulipi
,,Anasema nchini UGANDA wasanii wanafaidika hatakama hawajawa wasanii
wakubwa,,Alisema alifurahi sana alipofanya kazi na msanii toka TZ ambae
anajulikana kwa jina la VUMBE na kusema alimpenda sana VUMBE tangu
alipomsikia mara ya kwanza,,VUMBE anauwezo mkubwa kwani anajiamini
sana,,pia alimuomba kama vipi akafanyie mziki wake UGANDA,

No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.